Nesi akiri alivyomhanithi mumewe na kumuua polepole kwa dawa ya macho

Narudia tena, DeepPond ndio msimuliaji bora nikilinganisha na wengine wote. Ili yule mkurya asije na ID ngeni kuninanga nina wivu basi leo nitasema kwanini huyu ni bora kuliko wote.

1. Kuandika stori kali wapo walioandika wengi tu ila ni wale wa itaendelea, huyu hana hizi mambo so anawazidi hapo
2. Uandishi binafsi, wapo walioandika vizuri kabisa kama The Bold etc. Hapa anagawana nao marks

Sikupenda kusema nani zaidi au nani si zaidi ila tukikaa kimya kuna watu hawana uwezo wanapata sifa za bure. Mimi ni muumini wa kumpa mtu kile anachostahili.

Siku moja mtu mmoja akasema UMUGHAKA ndio mwandishi bora, niliudhika sana. Yule mwamba hajui kuandika, nikisema hivyo waandishi wanaelewa.

Kuna mtu juzi akaninanga ati nina wivu sababu sina stori za kuandika humu, nikacheka tu laiti angenijua.

Hii ni fani yangu na nina vitabu kadhaa mtaani vinavyofanya vyema, so mwandishi natoa maoni yangu kwa jicho la kiuandishi.

Layman yeyote akitaka kunipinga aje na hoja sio utoto wa ooh wivu ooh sina cha kuandika, niseme tu mimi nimebobea
Unaelewa maana ya masimulizi ww mnasifia wanaume wezenu had mnashindwa ficha ujinga wenu
 
Kama anajua kambi ni moja swali analoulizwa Lina maana gani,
Hiyo kambi kua ya malezi imeanza lini na ameuliza hili tukio limetokea lini?
Nikutoe wasiwasi coca, uyo anatafuta kubishi TU. Afu anachokibishia kakileta kishabiki. Kia's Hata ukimwelewesha Ni kujichosha TU. Haya nmekujibu ww tu kwasababu tunaheshimiana sn.
Morogoro kambi ya JKT ni moja tuu na ni Chita wilaya ya malinyi na sio kwa ajiri ya mafunzo ni kambi ya malezi basi,pia mujibu wa sheria form six Jkt ilikuwepo tokea miaka ya 70 ila ilifutwa ilivyofika miaka ya 90 kitu kama icho lakini serikali iliamua kuirudisha miaka ya 2000 tena hao mujibu wa sheria form six ilirudi rasmi miaka ya 2013 miezi 3 tu basi Sasa iyo kambi ya JKT iliyopo Morogoro labda iwe mpya lakini sizani kama morogoro kuna kambi mpya ya JKT ya mafunzo...
 
BAADA YA MIILI KUFUKULIWA,
Sampuli za mifupa zikapelekwa kupimwa, Ikabd na dokta akamatwe na akapekuliwe nyumbani kwake Kwa ajili ya uchunguzi.

Walivopekua kwa dokta, hawakukaa kitu, ila walikuta mabaki ya vichupa vya matone ya jicho vimechomwa jalalani. Yakachukuliwa Kama ushahidi.

Ilipotafutwa simu ya marehemu mme wa nesi, haikupatikana kabisa pale ndani. Ikabd polisi wawaombe mamlaka ya mawasiliano wawasaidie kulocate Mara ya mwisho Simu ilikua wapi, ikabainika Eneo la hospitali.

Ikabd na hospitali pakakaguliwe,
Simu ile ilikuja kukutwa ofsn kwenye droo ya dokta kwenye boksi tupu la gloves. Ikachukuliwa Kama ushahidi.

Haukupita MDA sana,
Majibu kutoka kwa mkemia yakatoka kua mtoto na MKE wa dokta mifupa yao imekutwa na kiwango kikubwa cha sumu ya tetra-hydrozoline.
Taarifa ile ya maabara ikachukuliwa Kama ushahidi.

Mwezi mmoja baadae,
Mashtaka yakaandaliwa na dokta akapandishwa kizimbani kwa mashtaka ya kuua MKE na mtoto wake kwa sumu ya tetra-hydrozoline pamoja na kushiriki kifo Cha mwanajeshi/mume wa nesi.

Kesi inaendelea,
kila siku inapigwa kalenda,
Ila ikibainika dokta ana hatia Basi dokta kifungo Cha maisha kitamhusu.

NB: Kuna ukimya kikubwa sn kinaendelea khs kesi hi na Hakuna hata media moja nmesikia Wala kuona ikiripoti kesi Hii.
Sijajua Ni wamepigwa ban kuiripoti au vipi, ila wadau tumekomaa tutaifatilia Hadi mwisho

######MWISHO########

Amaa kweli,
Hii DUNIA ni TAMBALA BOVU,
Wakuu, KUNA LA KUJIFUNZA HAPA

NAWASILISHA
uzi umenyooka sana
 
Umehalibu aisee utasababisha watu wahanisiwe sasa,maana weng hii siri za sumu ya macho walikuwa hawaijui,ila umefanya vema kuelimisha jamii
 
Morogoro kambi ya JKT ni moja tuu na ni Chita wilaya ya malinyi na sio kwa ajiri ya mafunzo ni kambi ya malezi basi,pia mujibu wa sheria form six Jkt ilikuwepo tokea miaka ya 70 ila ilifutwa ilivyofika miaka ya 90 kitu kama icho lakini serikali iliamua kuirudisha miaka ya 2000 tena hao mujibu wa sheria form six ilirudi rasmi miaka ya 2013 miezi 3 tu basi Sasa iyo kambi ya JKT iliyopo Morogoro labda iwe mpya lakini sizani kama morogoro kuna kambi mpya ya JKT ya mafunzo...
Siyo wilaya ya Malinyi ni wilaya ya Kilombero.Malinyi ipo wilaya ya Mahenge
 
Unaelewa maana ya masimulizi ww mnasifia wanaume wezenu had mnashindwa ficha ujinga wenu
Kwahiyo mnawaita wasimulizi au waandishi?

Kusifia unaumia nikisifia mimi? Nyinyi mnaosota kuwasujudu watu waweke mwendelezo wiki nzima je?
 
BAADA YA MIILI KUFUKULIWA,
Sampuli za mifupa zikapelekwa kupimwa, Ikabd na dokta akamatwe na akapekuliwe nyumbani kwake Kwa ajili ya uchunguzi.

Walivopekua kwa dokta, hawakukaa kitu, ila walikuta mabaki ya vichupa vya matone ya jicho vimechomwa jalalani. Yakachukuliwa Kama ushahidi.

Ilipotafutwa simu ya marehemu mme wa nesi, haikupatikana kabisa pale ndani. Ikabd polisi wawaombe mamlaka ya mawasiliano wawasaidie kulocate Mara ya mwisho Simu ilikua wapi, ikabainika Eneo la hospitali.

Ikabd na hospitali pakakaguliwe,
Simu ile ilikuja kukutwa ofsn kwenye droo ya dokta kwenye boksi tupu la gloves. Ikachukuliwa Kama ushahidi.

Haukupita MDA sana,
Majibu kutoka kwa mkemia yakatoka kua mtoto na MKE wa dokta mifupa yao imekutwa na kiwango kikubwa cha sumu ya tetra-hydrozoline.
Taarifa ile ya maabara ikachukuliwa Kama ushahidi.

Mwezi mmoja baadae,
Mashtaka yakaandaliwa na dokta akapandishwa kizimbani kwa mashtaka ya kuua MKE na mtoto wake kwa sumu ya tetra-hydrozoline pamoja na kushiriki kifo Cha mwanajeshi/mume wa nesi.

Kesi inaendelea,
kila siku inapigwa kalenda,
Ila ikibainika dokta ana hatia Basi dokta kifungo Cha maisha kitamhusu.

NB: Kuna ukimya kikubwa sn kinaendelea khs kesi hi na Hakuna hata media moja nmesikia Wala kuona ikiripoti kesi Hii.
Sijajua Ni wamepigwa ban kuiripoti au vipi, ila wadau tumekomaa tutaifatilia Hadi mwisho

######MWISHO########

Amaa kweli,
Hii DUNIA ni TAMBALA BOVU,
Wakuu, KUNA LA KUJIFUNZA HAPA

NAWASILISHA

Uzinzi ni kitu hatari saana. Mungu atusamehe tusihukumu ili tusije tukahukumiwa.
 
Hata sio magaidi. Kwasabbu hili jambo kafanya nesi shutuma zinaenda kwake. Lakin lets trace in the beginning. What you sow is what you reap. Tamaa huzaa dhambi. Dhambi huzaa mauti.

Huyu mwanajeshi kaitafuta mauti kwa juhudi kubwa. Alikua na mke wake mzuri tu. Kazaa nae watoto watatu tena. Lakin akaona yule mke ni ng'ombe tu. Akajiona ni rijali ok. Akaendelea kukitembeza kwa kila mwanamke akijidai kuwa nature ya mwanaume si ya kuwa na mke mmoja. Tena akaamini kama ni kufa ye ni mwanaume atafia vitani katika mapambano. Akajichanganya akaja kukutana na mtoto wa ibilisi ambae ni huyu nesi. Akampiga mke wake na kumuacha akati mke amekuwa akimvumilia na kumuasa aache maisha ya uasherati.

Tena mwanamke wa watu kamzalia watoto watatu ye asivyo na shukrani akaona ooh kanizalia mabinti tu. Akawa proud kuachana na mke wa ujana wake. Ok sawa, chappp akaoa mke wa pili. Akajichanganya akamsomesha madai mapenzi kizunguzungu. Kwa sabbu kamzalia mtoto wa kiume. Lakini hakuacha uovu, akawa anamnyanyasa kihisia na kimwili mwanamke huyu.

Kwa michepuko kadha wa kadha, Uovu ukajazilizwa na uovu. Remember tayari kuna mbegu ya uzinzi iliopandwa hapa, na ndo maana hii nyumba kamwe isingekuwa na amani. Katika biblia mwanzo wa kitu hudetermine fate ya kitu kwa asilimia kubwa. Hata Yesu alivyokua akianza kazi, aliingia kwenye mfungo wa siku 40. Alijua kabisa kabla hajaanza project iliomleta, lazima aweke Msingi mzuri rohoni. Wewe mwanzo wa ndoa, umeipata kwa kuvunja familia flani. Unatolewa mahari unacheka kabisa. Labda kama huyu alikua anateswa na mke wa kwanza ama kupigwa hapo sawa. Hata kama walikua hawajaoana kanisani..walikua na watoto watatu..tayari ilikua ni ndoa hiyo.

Afu usiotafuta kujua nini shauri la Bwana juu ya ndoa yako..hata usali basi ili Mungu akwambie ufanyeje..kisa umezalishwa huyo mmoja..hujamuwazia mwanamke mwenzako mwenye watatu. Zaidi unajiona we ndo umependwa akati unaolewa na mtu aliekuwa capable wa kuacha mke. Proudly.

Ok nae ultimately, akavuna alichopanda. Akawa anapigwa kama mke wa kwanza alivyokua anapigwa. Akawa anakuwa cheated kwenye kitanda cha ndoa. Maana msingi wa ndoa umetokea kwenye dhambi (zinaa). Yeye akaenda mbali na kuamua kummaliza mwanajeshi. Hili mwanajeshi alilitafuta. Kiungo kilichokuwa kinampelekesha, shetani kamsukuma akitumie ovyooo..afu after that kamuacha hapo bila msaada. Too bad alitubu baada ya kuingia kwenye ulokole lakin bado adhabu ya uovu ilikua juu yake. Kama Daudi nae alitubu lakini adhabu akapigwa ya mtoto wake kufa. Madhara ya dhambi sometimes utatubu lakini kunaweza kuwa na adhabu ya kuitumikia.(somo pana kdogo).

Anyways hatimae wengine wamekufa, wengine wanatumikia vifungo jela. Damu iliomwagika huwa inanena. Kama sio baya basi mema. Damu ya Yesu ilinena mema, damu ya mwanajeshi na mke wa dokta inanena kisasi. Na mara nyingi huwa inataka uhai mwngne uondoke. So its a matter of time. Dokta ama Nesi ama wote..uhai wao uko rehani. Labda waibreak hii curse kwa maombi makubwa sana. Ama mfungo mkali sana, hukohuko gerezani. Wadada kwa wakaka, wababa kwa wamama, unachokifanya leo kwa mwenza wako, iko siku kinaweza kurudi. Lets respect maagano yetu na viapo vyetu vya ndoa. Zaidi tamaa zinapotuzidi tukumbuke MUNGU yupo. Tunaweza kusoma hii story na kuona kama tantalila tu, lakini mpaka ulale on your deathbed ndo utagundua you had time to repent and amend your ways but you chose not to. Mpende mke wa ujana wako. Mheshimu mume wa ujana wako. Lets respect and honor our Marriages. Lakin kama hutaki pia its ok. Am not God...kwamba I know what could happen to you. Peace and love.
Hata kama mjeshi alikuwa na kosa bado haimpi nesi haki ya kutoa uhai wa mwenzako ndo maana talaka zipo, umeona humuwezi kwanini msiachane??
 
Ni kisa cha mwanamke mmoja ambae kwa Sasa ni mfungwa gereza wa Moja hapa nchini akitumikia kifungo maisha kutokana na kosa la kumuua na kumhanithi mumewe kwa kutumia dawa ya matone ya jicho.

Nesi huyu alilazimika kuelezea kisa hiki mbele ya waendesha mashtaka kama Njia yake ya kukiri na pia kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha kwa njia ya plea-bargaining baada ya mawakili wake kuikata rufaa kesi yake.

Nesi huyu anaelezea mwanzo-mwisho maisha yake khs alivyopitia manyanyaso, mateso, vipigo na unyanyasaji katika ndoa yake dhidi ya marehemu mumewe aliekua mwanajeshi, mtu wa pombe Sana na Michepuko kwa sana.

Nesi anaelezea pia alivolazimika, kuplan na kufanikiwa kumhanithi mumewe kwa kutumia dawa ya matone ya jicho kisirisiri ili kumzuia asichepuke na kumletea magonjwa Kwny ndoa yake,

Pia anaelezea alivofika maamuz ya kumuua mumewe ili aweze kuishi kwa Uhuru na mpenz wake mpya ambae ni daktari na mfanyakazi mwenzie anakofanyia kazi.

Pia anakiri alishawishiana na hawara ake daktari wamuue mke wa dokta kwa dawa ile ile ya matone ya jicho pole pole, daktari kweli akamuua mkewe ili waweze kua huru, kufunga ndoa, ili waanze kuishi pamoja maisha yao mapya Kama mume na mke.

Anaelezea pia mauaji hayo jinsi yalivopangwa na kutelezwa pole pole na kwa uvumilivu huku Wenza wao wakiumwa na kupitia mateso makali Sana wakiwa na dalili zote za ugongwa wa corona. Ili sasa baada ya kifo Chao ibainike kamba wagonjwa wote wale wamefariki kwa changamoto ya upumuaji ambayo kwa kipindi hicho ilihusishwa sana na ugonjwa wa corona.

Na kweli baada ya vifo vyao,
jamii nzima ikakubali wagonjwa wale walikufa kwa corona. Mpaka pale uchunguzi wa kina ulipofanyika na kubaini wagonjwa wale waliokufa, hawakufa kifo Cha kawaida cha ugonjwa wa corona.

Bali waliuwawa kwa kemikali ya sumu inayopatikana kwenye dawa ya matone ya jicho kwa kupewa dozi kdg kdg, wakaugua pole pole mpk kufariki kwa dalili za changamoto ya upumauji katikati ya janga la corona lililotikisa nchi yetu.

Mkuu, hivi hunaga kazi ya kufanya?
 
Ni mfanya biashara wa viafa vya electronic kila zaga lolote uliza hapa atkujibu hapo hapo bila mbambamba ,on the spot na mm nilijiridhisha siku Moja nilivyokuwa natafuta kufungua ofc nilipat msaada mkubwa kwakwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu. Yani kwa namna niko busy naingia JF mara moja sana, na kila nikiingia nakuta mwamba kaandika gazeti! Nikajiuliza, huu muda anaupata wapi?
 
Hata kama mjeshi alikuwa na kosa bado haimpi nesi haki ya kutoa uhai wa mwenzako ndo maana talaka zipo, umeona humuwezi kwanini msiachane??
Hii kesi mnaibeba kiduniani sana. Lakini hii kesi imeanzia ulimwengu wa roho. You know what? Sina nguvu za kutype hapa. Kweli nesi kakosea sanaaaaa. Bye guys!!perfeeeect!!
 
Back
Top Bottom