Nertwork unlocking solution

it can be

New Member
Mar 22, 2019
1
0
Habari wakuu...
Nilibahatika kununua simu kwa mtu aina ya samsung tracfone j3 luna pro....
Alinifahamisha kua simu hiyo ilikua inatumika south africa ukiingiza laini ya Tanzania haisomi....
Niliipenda sana nikaona bora niichukue ...
Sa shida yangu ni namna ya kipata unlocking code au vyovyote vile laini iweze soma
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom