Neno "Unaniimiza", vilio na vitendo vya kuonyesha anaumia ndivyo hupandisha midadi wanaume wengi kujiona rijali, Je wanaume kwa asili ni wabakaji ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali.

Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja waliobobea hii fani, unakuta pisi ni bwawa ila anafeki waweza kudhani anaumia kweli.

Kwa asili wanaume ni wabakaji wanaopenda mwanamke aumie kwenye tendo ?
 
Ubakaji ni nini?? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom