Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
And some of the time say YES, because u have it!😁Learn to say 'NO'
Huu msemo nao,unaweza kukosa mengi😋
🤣🤣Ofukozi mkuuAnd some of the time say YES, because u have it!😁
Una hatari sana😋 utakufa vibaya wewe,nakuhurumia 😂Sasa kama unamuomba mtu na unauhakika anacho hicho kitu na nilazima awenacho, si vyema akakunyima 😁
Mrembo, umekuwa adimu mno. Hali yako?Learn to say 'NO'
Huu msemo nao,unaweza kukosa mengi😋
Habari jakoUna hatari sana😋 utakufa vibaya wewe,nakuhurumia 😂
Ni poa kabisa kabisa, waendeleaje?Habari jako
Nipo bro,kuna mambo naweka sawa,next year nitakuwa free 24/7Mrembo, umekuwa adimu mno. Hali yako?
Ni Bora akuombe umsaidie kama msaada nasio mkopo, hapo kweli kutakuwa hakuna lawama. Kinyume na hapo ni kukosana na kuvunja uhusiano uliokuwepo.Mkono utoao ndio upokeao.
Ipo faida kubwa sana kwa kutoa sambaba na hilo ni ile methali ya anae kufaa kwa dhiki ndie rafiki .
Mungu akusimamie na kukufanyia wepesi katika kutimiza mambo yako.Nipo bro,kuna mambo naweka sawa,next year nitakuwa free 24/7
Umeikata simulizi hii muhimu!Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe
Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu anaekuomba pesa ila niamini mimi ni neno lenye msaada mkubwa sana kwako ukilitumia,mtu hawezi kukuhoji asa kwanini huna hela na wakati na yeye mda huo hana hela pia ndio mana kakufata wewe.
Kuna jamaa kanisumbua sana 30k yangu hataki kunilipa,Kazi tunafanya ni Moja,ugumu wa kupata hela anaujua..ila akawa anajifanya mjanja...siwakaanzisha mchezo afu wakanichagua niwe nawawekea hela linapofika jina nampa anaepokea kwa kuwa wananiamini...nikasema hapa hapa na fyeka na hela yangu ilipofika zamu yake.
Alilalamika.,,,Kuna watu wanajua kulalamika aisee.
Nilimwambia aache mambo ya kitoto,,mtu hana mke wala mtoto Kazi Kila siku anafanya na anapata hela anashindwaje kulipa hela ndogo hivo.Umeikata simulizi hii muhimu!
Katika malakamiko yake alidai nini tena?
Kumbe hapo unamnyima sio🤣?Kusema kweli sina hata mbuni yaani mbwiii mbwaa
...neno very useful 🤣🤣