Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Dola elfu 80[emoji16]Elfu ngapi. [emoji23]
[emoji102] [emoji87] [emoji125] [emoji100]Dola elfu 80[emoji16]
Ke siku zote hawapendani. [emoji102] [emoji23]Nakupenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani weweKe siku zote hawapendani. [emoji102] [emoji23]
Nimekula mboga asubuhi hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena bila kulaNimekula mboga asubuhi hii
[emoji23] [emoji125] [emoji100]
NAKUPENDA...Kiuhalisia mwanamke na mwanaume ni watu waliotengana kimwili endapo hutakiana kimwili!
Mapenzi ni muunganiko wa kimhemko(kihisia) wa kimahaba baina ya mwanamke na mwanaume na ndio huwaunganisha wawili hao.
ktk neno nakupenda ni neno lenye nguvu ambalo huleta hali ya furaha,hukata huzuni na pia huleta faraja.. hulka ya mwanadamu hupenda kupendwa,hivyo anapoambiwa kuwa anapendwa hujisikia furaha hasa neno hilo anapolipata kwa mtu anaempenda.
neno hilo huamsha hali ama upendo uliokuwa umelala ama kufubaa hasa pale utakapomuonyesha mapenzi kwa vitendo yule umpendae!..
Ili kuendelea kuitunza afya ya mapenzi yenu neno "nakupenda" lisitoke ktk peo zenu za ubongo,sambamba na matendo.
Sekta ya mapenzi hujitegemea,mtafaruku hujitokeza pale utakapo mix na sekta nyengine..
Penda na pendwa kwa furaha na faraja ya maisha yako lkn usiutumie upendo wa mwenzako kuwa fimbo kwake,mheshimu anaekupenda maana amekuridhia.
YanatongotongoYamefanyaje macho yangu. [emoji23]
[emoji135][emoji135][emoji102] [emoji87] [emoji125] [emoji100]
Vyuma vyuma vyuma.
Sweetheart.Baby
Za weekend?Sweetheart.
Naumwa mafua mpenzi.Njema mpenzi. Ndio tumeianza hivyo.
uko poa ?
Pole mpenzi. Mimi ndio dawa yako. Nipo njiani naja.Naumwa mafua mpenzi.
upo ?Kiuhalisia mwanamke na mwanaume ni watu waliotengana kimwili endapo hutakiana kimwili!