Neno nakupenda

Kumwambia mtu NAKUPENDA ni jambo moja.
Kumaanisha kwamba kweli unampenda mtu ni jambo lingine lililo gumu zaidi.
Hahahha..na kweli,..na mwingine kukujibu nakupenda pia ni suala lingine maana anaweza kukujibu kukamilisha tuu ukamilifu wa sentence lakini hamaanishi...mwingine anajibu "ahsante" hahhaah aiseee...ngoja tuendelee kulima mbogamboga kumekuchaa[emoji125][emoji125]
 
Ahahahaaaha
umenikumbusha juzi juzi kuna binti nimemwambia NAKUPENDA akaitikia Thanks.
 
Siku hizi huwezijua yupi analitamka kwa kumaanisha kweli.

Labda mataifa mengine si Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…