JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,200
Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh. Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata Rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel na tuliona siyo sawa.
Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais.
Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!