Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 7, 2023 #1 π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦π
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,130 Reaction score 4,393 Dec 7, 2023 #2 Msitu katika Mbegu Mziki uliowachanganya Ufaransa
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 7, 2023 Thread starter #3 Joe Navarro said: Kada Ufaransa Click to expand... πππ
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,170 Reaction score 6,194 Dec 7, 2023 #4 Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187 Click to expand... Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187 Click to expand... Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,991 Reaction score 10,406 Dec 7, 2023 #5 Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... πππ
Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... πππ
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 3,996 Reaction score 5,969 Dec 7, 2023 #6 Hongera kwa kufichua uchafu wa wazungu wa ufaransa. Hawafui,hawaogi. Ova
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 7, 2023 Thread starter #7 Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... Nuksi sana Hawaπ
Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... Nuksi sana Hawaπ
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 7, 2023 Thread starter #8 Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... Nuksi sana hawa
Saad30 said: Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa. Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu. Click to expand... Nuksi sana hawa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,064 Reaction score 69,488 Dec 7, 2023 #9 Wapo Kateshi
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 3,996 Reaction score 5,969 Dec 7, 2023 #10 Kennedy said: Wapo Kateshi Click to expand... Hongera bwana mdogo. Ulimi nyama iliyo huru. Unaona Katesh wana raha ehhhh?!? Si ndiyo? Ubaya ni kama mkopo. Na ukikurudia,unakuja na riba. Vuta subira dogo
Kennedy said: Wapo Kateshi Click to expand... Hongera bwana mdogo. Ulimi nyama iliyo huru. Unaona Katesh wana raha ehhhh?!? Si ndiyo? Ubaya ni kama mkopo. Na ukikurudia,unakuja na riba. Vuta subira dogo
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,657 Dec 7, 2023 #11 Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187 Click to expand... KIROBOTO ANARUDI
Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187 Click to expand... KIROBOTO ANARUDI
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,170 Reaction score 6,194 Dec 7, 2023 #12 Magical power said: Nuksi sana hawa Click to expand... Ogopa sana akishiba damu. Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo. Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku. Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna.
Magical power said: Nuksi sana hawa Click to expand... Ogopa sana akishiba damu. Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo. Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku. Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna.
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6,933 Reaction score 9,033 Dec 7, 2023 #13 Kuna wahuni wanaishi maisha ya huyo mwamba na wanapiga pesa mjini,daaah
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,367 Dec 7, 2023 #14 Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦π View attachment 2835187 Click to expand... Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi
Magical power said: π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦π View attachment 2835187 Click to expand... Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,709 Reaction score 4,219 Dec 7, 2023 #15 Mabasi ya kasulu huko ni balaa
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 Dec 7, 2023 #16 Kuna kipindi nilikuwq sehemu,kuhama nao.ahaaa ilinichukua miezi sita kuwamaliza.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,313 Reaction score 25,819 Dec 7, 2023 #17 Mwanafunzi mkongwe zaidi pale UDSm aishie hostel za mabibo
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 8, 2023 Thread starter #18 Saad30 said: Ogopa sana akishiba damu. Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo. Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku. Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna. Click to expand... HatariππππππΎ
Saad30 said: Ogopa sana akishiba damu. Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo. Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku. Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna. Click to expand... HatariππππππΎ
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 8, 2023 Thread starter #19 Antennah said: Kuna wahuni wanaishi maisha ya huyo mwamba na wanapiga pesa mjini,daaah Click to expand... Kiaje
Antennah said: Kuna wahuni wanaishi maisha ya huyo mwamba na wanapiga pesa mjini,daaah Click to expand... Kiaje
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,455 Reaction score 6,465 Dec 8, 2023 Thread starter #20 Jamaa_Mbishi said: Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi Click to expand... Na pilipili Kwa mbaaaali ππππ
Jamaa_Mbishi said: Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi Click to expand... Na pilipili Kwa mbaaaali ππππ