Neno moja kwake mtu huyu!

Nzuri sana. Ni mfano wa kuigwa kwa wanaume wote kutimizi wajibu wa kusaidizana katika malezi ya kifamilia kwa njia na mitindo mbali mbali.
 
Kwangu sioni hoja, bali nampa pongezi kwa upendo alionao kwa mkewe na mtoto...

Raha ya kuwa na mke ajuae Mwanaume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…