Neno moja kwake mtu huyu!

Nimependa tu kiatu kabla ya kutoa neno kwake kama cha Charlie Chaplin.

Unalea hivyo halafu kuna kidume kinakuja kumtia mimba aisee lazima utapiga mtu.
 
alafu wanawake walivo unawezakuta mume wa dizain hii watamuona bwege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…