N nkese JF-Expert Member Mar 8, 2017 3,066 2,808 Apr 16, 2017 #3 Ni masikini wa vingi:akili,mali,elimu na hata mapenzi!
Thad JF-Expert Member Mar 14, 2017 13,367 31,532 Apr 16, 2017 #4 Hilo ni poz tu la kupigia picha,hakuna wanaume wa hivyo
Mwanga Lutila JF-Expert Member Nov 10, 2016 4,138 13,826 Apr 16, 2017 #6 Mbona hiyo kawaida tu, siku moja moja unajifanya bwege ili kumsoma mkeo na wakuangaliao(majirani).
The Unidentified New Member Aug 16, 2019 1 0 Oct 10, 2019 #7 Write your reply...Labda ndo mambo ya kidigitali!!