Neno moja kwa Mugabe

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,612
21,346
IMG_20170503_212501.JPG
 
Afadhali umegundua hili. Kila msemo mtamu kasema Mugabe? Kwani mnara wa Babeli aliuvunja yeye!
Hao ni jamaa wa south ndo wanarun hizo page sema wanafanya kama comedy
Relax mkuu. Nadhani lengo la wanaotunga hii misemo na "meme" za Mugabe ni kuchekesha watu. Laugh if you can, enjoy life...maisha menyewe haya mafupi ati!
Ni kweli mkuu wanaocontrol
Hizo page instagram,twitter na facebook wanafanya for fun Sema watu wengine wanatake serious kama mugabe ndo kasema
Pia zipo baadhi ya page kama
kansiime anne quotes
Jacob zuma quotes

barrack obama quotes
 
Mbona wengine wanarudi, kama ni mwanaume ameshakuwa "kiboga" na masikio katoga, pua anabana, anagawa hadharani hadi wazee wengine wanakufa kwa BP wakiona hayo kwa watoto wao waliopeleka wakasome nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom