Mp19
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 259
- 726
Habari wanaume wenzangu!
Siongezi wala kupunguza neno. Mwanaume Linda mfuko wako dhidi ya wanawake.
Kuna used mmoja nimetoka naye out siku moja kesho yake tu ananiomba hela sijui alisahau jana nilimpa hela kama 40k.
Sigusi tena uchi wake maana anaugeuza kitegauchumi, sasa ananipigia simu nimfungulie saloon.
Weeeehh nikufungulie saloon utanipa mini?
Unajua mama yangu anakula nini kijijini?
Moderator naomba mnirekebishie hapo juu kidogo, neno mwanaume limeandikwa mwanaune.