Neno La Leo: Ngeleja's Last Dance!

kitu hii UDINI inatoka wapi? mzembe ni mzembe tu haijalishi anatoka hekalu gani!
 
Sasa kinachowashinda kuelewa aliacha 400 ni kipi?
Ni kweli kabisa, aliacha 400/= "abaki nazo," uko sawa.

Akaondoka na karanga zenye thamani ya 300/=. Hivyo aliacha bakhshish ya 100/= tu. Sasa ukimpa mtu 100/= bure ukakimbia kuja kuianzishia thread nashangaa cha ajabu katika 100/= ni kipi.

tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
 
Hivi tangu lini kutafuna hela ya serikali ya Tz ikawa kosa?! Hatajiuzulu! Na hakuna mwenye mamlaka anayeweza kumfanya chochote, ndio utaratibu wa serikali yetu yenye kujali na kufuata sheria (za wapi?). Atatabasamutabasamu tu na kujieleza kidooooogo akijitetea kwa jeuri kwa hili na lile halafu basi!
 
Pamoja na yatakayowatokea kiserikali, Mungu huyu wa Yakobo hatawaacha bila kuwaadhibu mabaradhuli hawa wawili pamoja na huyoMsanifu wao wa mpango huu i.e. Jairo. Halafu fedha nyingi hizi zinaishia kuhonga vimada laana wakubwa hawa.
 
Ubishi uko wapi jamani? Majjid kasema alitoa noti ya Tsh 500 akanunua karanga za mia 300, akamwachia chenji na mwanaye akamuongezea binti yule 200.. Sasa kinachowashinda kuelewa aliacha 400 ni kipi?

Mkandara,
Asante sana kwa ufafanuzi. Hata mimi nashangaa ni kwa jinsi gani kwa wengine hesabu ya noti ya mia tano utoe mia tatu kwa karanga paketi tatu. Kisha chenji ya mia mbili umwachie mwuza karanga na halafu umwongezee mia mbili na kufanya jumla ya ulichokiacha kikawa mia nne!
Maggid,
Msamvu.
Morogoro.
 
Ni kweli kabisa, aliacha 400/= "abaki nazo," uko sawa.

Akaondoka na karanga zenye thamani ya 300/=. Hivyo aliacha bakhshish ya 100/= tu. Sasa ukimpa mtu 100/= bure ukakimbia kuja kuianzishia thread nashangaa cha ajabu katika 100/= ni kipi.

ndugu yangu una kipaji cha kubisha ukweli.
Halafu mzito kuelewa, na kujifanya unajua.
This is a valid statement.
 
na kufanya jumla ya ulichokiacha kikawa mia nne!
Kama "jumla ya ulichokiacha kikawa mia nne" na ukaondoka na vifuko vitatu vya karanga vya 100/= kila kimoja, basi umetoa bakhshish ya shilingi 100/= tu.

Umesema tena na kuzidi kusisitiza, muuzaji amebaki na jumla ya shilingi mia nne!

Maggid, unasomwa na maelfu ya Watanzania, umeanza kuwaandikia si jana, si juzi, unashindwaje kuanisha hadithi ya hesabu za karanga tatu hata kama Kiswahili si lugha ya asili au mazoea yako ya Iringa?
Angekuwa mtu wa ajabu ajabu mwingine humu isingekuwa tatizo, lakini kwa wewe kuhangaika kunyoosha maelezo ya salio la manunuzi ya karanga ni fedheha na dhihirisho la ubovu wa mfumo wa elimu yetu.

tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
 

Huyu ni zuzu, hakuna sababu ya kupoteza muda wa kumuelimisha, anapaswa kupuuzwa.
 
Mbona ni wakristo watupu? yaani hapo Adam Malima hausika? au ndio mfumo Bakwata unasimikwa nchini? tunahitaji kauli ya maaskofu, huu ni uonevu dhidi ya wakristo.

Haya sasa 500-300+200=UDINI.
 
Ubishi uko wapi jamani? Majjid kasema alitoa noti ya Tsh 500 akanunua karanga za mia 300, akamwachia chenji na mwanaye akamuongezea binti yule 200.. Sasa kinachowashinda kuelewa aliacha 400 ni kipi?

yeye hakubari kama pesa aliyopewa binti ni sh 400, hapo ndipo lilipo tatizo. wewe na sisi wengine tupo pamoja ila huyo mtaalamu wa hesabu anayeendelea kubisha ndiyo bado hajaelewa, labda aje majjid mwenye amueleweshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…