Waulize kuwa Azory na ben saanane wako wapi?
Mbowe anajua Saanane yuko wapi!Waulize kuwa Azory na ben saanane wako wapi?
Umejuaje?Mbowe anajua Saanane yuko wapi!
Muulize Mbowe. Anajua.Umejuaje?
Acha porojo mataga.Muulize Mbowe. Anajua.
Wewe una data za mahali alipo?Acha porojo mataga.
Unazushs zush tu huna data
Mchungaji fake wa river side ubungo analijua hili au?Waulize kuwa Azory na ben saanane wako wapi?
Kazi ya policeccm hioAulizwe Mbowe Mkuu tuliambiwa Mbowe ni mafia
Wacha porojo binti.WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.
Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????
KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema
CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...
MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..
ZITTO hafai, Mbowe ni mwema
KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri
WAITARA was wrong, Mbowe was right
SELASINI hafai, Mbowe mwema
CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea
DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei
DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...
SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa
LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi
GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE
WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mataga vipi weweWewe una data za mahali alipo?
Ungejiuliza kitu kimoja bibie, wote uliowataja wameondoka Chadema na kwenda kujiunga na adui wa Chadema (except wachache sana) yaani CCM. Sasa hao utawaitaje kama sio wasaliti na Mbowe ni Malaika?WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.
Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????
KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema
CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...
MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..
ZITTO hafai, Mbowe ni mwema
KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri
WAITARA was wrong, Mbowe was right
SELASINI hafai, Mbowe mwema
CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea
DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei
DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...
SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa
LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi
GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE
WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe data unazo?Acha porojo mataga.
Unazushs zush tu huna data
Imefanywa kuwa kosa la jinai kumiliki data.Wewe data unazo?
Mkuu asante sana. Nimeona niwapatie neno hilo linalosisutiza "heri mtu asiyeenda mienendo ya wasio haki" ili wajichunguze jee wanaenda itakiwavyo?