Neno la leo kwa Rais Magufuli na viongozi wa Serikali

ZABURI 1:1 - 6
" Heri Mtu Yule Asiye Kwenda Katika Shauri La Wasio Haki, Wala Hakusimama Katika Njia Ya Wakosaji, Wala Hakuketi Barazani Pa Wenye Mizaha, Bali Sheria Ya Bwana Ndiyo Impendezayo, Na Sheria Yake Huitafakari Mchana Na Usiku, Nae Atakuwa Kama Uliopandwa Kandokando Ya Vijito Vya Maji Uzaao Matunda Yake Kwa Majira Yake Wala Jani Lake Halinyauki, Na Kila Alitendalo Litafanikiwa".
Mkuu Chakaza, hapo kwenye atakuwa, kuna neno Mti limemiss, sio kosa lako bali ni kosa la Bible yako uliyo copy na ku paste, tangu kule walikosea hivyo ma copy cats nao wanakosea vivyo hivyo.
The correct version ni hii

HERI MTU YULE ASIYE KWENDA KATIKA SHAURI LA WASIO HAKI WALA HAKUSIMAMA KATIKA NJIA YA WAKOSAJI WALA HAKUKETI BARAZANI PA WENYE MIZAHA

BALI SHERIA YA BWANA NDIYO IMPENDZAYO NA SHERIA YYAKE HUITAFAKARI MCHANA NA USIKU

NAYE ATAKUWA KAMA MTI ULIOPANDWA KANDOKANDO YA VIJITO VYA MAJI UZAAO MATUNDA YAKE KWA MAJIRA YAKE WALA JANI LAKE HALIKUNYAUKA NA KILA ALIFANYALO ATAFANIKIWA
P
 
"Kosa la bible yako"?? Ngoja nikuache kidogo mwandishi nguli nisije nikaharibu asubuhi yangu.
Siku njema!
 
Back
Top Bottom