Neno la leo kwa Rais Magufuli na viongozi wa Serikali

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,510
2,000
ZABURI 1:1 - 6
" Heri Mtu Yule Asiye Kwenda Katika Shauri La Wasio Haki, Wala Hakusimama Katika Njia Ya Wakosaji, Wala Hakuketi Barazani Pa Wenye Mizaha, Bali Sheria Ya Bwana Ndiyo Impendezayo, Na Sheria Yake Huitafakari Mchana Na Usiku, Nae Atakuwa Kama Uliopandwa Kandokando Ya Vijito Vya Maji Uzaao Matunda Yake Kwa Majira Yake Wala Jani Lake Halinyauki, Na Kila Alitendalo Litafanikiwa".
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,510
2,000
Mimi sina cha kumpa yeye na wasaidizi wake zaidi ya hiyo mistari michache ya maneno matakatifu.
 

sintah

Senior Member
Aug 18, 2013
179
250
WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.

Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????

KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema

CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...

MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..

ZITTO hafai, Mbowe ni mwema

KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri

WAITARA was wrong, Mbowe was right

SELASINI hafai, Mbowe mwema

CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea

DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei

DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...

SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa

LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi

GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE

WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,593
2,000
WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.

Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????

KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema

CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...

MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..

ZITTO hafai, Mbowe ni mwema

KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri

WAITARA was wrong, Mbowe was right

SELASINI hafai, Mbowe mwema

CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea

DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei

DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...

SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa

LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi

GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE

WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha porojo binti.
UnaBwabwaja tu ili ulipwe
 
  • Dislike
Reactions: UCD

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,510
2,000
WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.

Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????

KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema

CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...

MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..

ZITTO hafai, Mbowe ni mwema

KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri

WAITARA was wrong, Mbowe was right

SELASINI hafai, Mbowe mwema

CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea

DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei

DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...

SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa

LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi

GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE

WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejiuliza kitu kimoja bibie, wote uliowataja wameondoka Chadema na kwenda kujiunga na adui wa Chadema (except wachache sana) yaani CCM. Sasa hao utawaitaje kama sio wasaliti na Mbowe ni Malaika?
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Tafakuri ya neno kwa maudhui yake ina mashtaka ndani yake.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,510
2,000
Chakaza tafadhali wawekee na huu wimbo uwaburudishe wakati wanasoma.
Mkuu asante sana. Nimeona niwapatie neno hilo linalosisutiza "heri mtu asiyeenda mienendo ya wasio haki" ili wajichunguze jee wanaenda itakiwavyo?
Mzee Magufuli muumini mzuri ambaye anaamini Mungu anaweza kulikinga taifa na korona jee anaweza kuamini kuwa atamlinda hata asiposimama juu ya haki kwa watu wake?
Mungu wa kweli hapendi tuwe vuguvugu, eitha uwe moto na ajue u mtu wake au uamue kuwa baridi na ujulikane ni mfuasi wa Lucifer kama kina Bokassa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom