Mkuu, nikutoa wasi wasi. Mimi katika yote si mto wa mguu ndani, mguu nje. Either I am in or I am out, sababu whatever decision katika maamuzi Yangu nanakuwa backed up na sababu ambazo kwangu zinakuwa zina tija.
Mabadiliko yanayo ongelewa hapa ni yale ambaya yanajengwa na misingi ya attributes za kibinadamu. Weka pembeni innovations na technology. Unaweza ukambadilisha mtu hapa "class" ila huwezi kumbadilisha mtu "taste". Sababu class inanunulika, na taste inajengwa taratibu ikiwa imeambatana na kukuzwa, oteshwa, meteshwa katika misingi ya malezi, tamaduni, taratibu na mila.
Ugonwa huu wa "Upumbazwa" hauwezi futika kwa kuamua sasa uondoke, inatakiwa tufungue huu mjadala, tujitathmini, tujitambue na tujirekebishe taratibu. Kujirekebisha wenyewe, kurekebisha wale ndani ya familia zetu na watu wetu wa karibu. Huu ni ugonjwa wa kutibika taratibu ili kuja kuleta matokeo ya mara moja.
Suala la pesa kwa na nguvu ya ajabu, ni sababu mafanikio ambayo sisi tunathamini na enzi patika Jamii ni matokeo ya pesa. Let's create a society ambayo inaweza ikasheherekea uzalendo zaidi ya pesa na uone namna "Uzalendo" unaweza kugeuka nguvu ya ajabu.