zitakuwa ufipaKwani headquarter za Banana Republic zitakuwa Chatho?
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] not Banana Republic
Uchumi unakuwa vizuri endapo katiba na sheria za nchi zitaheshimiwaNdugu zangu,
Tuna wajibu wa kizalendo kuzuia nchi yetu isigeuzwe kuwa Jamhuri ya Migomba.
Maana, ilivyo sasa, tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia baadhi ya tuliowapa dhamana za uongozi wakiwa na matarajio ya kuvuna utajiri wa haraka kwa kufanya biashara na uchumi wa nchi ili kujinufaisha wao binafsi na makundi yao ya wizi, badala ya kuunufaisha umma.
Wameigeuza nchi kuwa ‘Banana Republic’- Jamhuri ya Migomba.
Kwenye siasa Jamhuri ya Migomba ina maana ya nchi ambayo baadhi ya viongozi na watendaji wake wanafanya biashara na uchumi wa nchi kwa maana ya kutumia vibaya madaraka yao na hivyo kufanya biashara na rasilimali za nchi badala ya kuzilinda na kuhakikisha zinawasaidia wengi.
Tanzania Should Never Be A Banana Republic.
Ni Neno La Leo.
Maggid Mjengwa.
0688 37 36 52 ( Whatsapp)
karibu jamvini ila nikuchane mkuu katika wanahabari makanjanja wewe Ni namba moja,unapenda kujipendekeza Sana kwenye utawala Na bahati mbaya huna nyota Kama makonda,gambo n co. Wewe unajipendekeza lakini hata udc wamekunyima. Pole Sana ila nadhani sasa akili imeanza kurudi kwa kasi. Karibu jf ila usilete ukanjanja wako huku.Ndugu zangu,
Tuna wajibu wa kizalendo kuzuia nchi yetu isigeuzwe kuwa Jamhuri ya Migomba.
Maana, ilivyo sasa, tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia baadhi ya tuliowapa dhamana za uongozi wakiwa na matarajio ya kuvuna utajiri wa haraka kwa kufanya biashara na uchumi wa nchi ili kujinufaisha wao binafsi na makundi yao ya wizi, badala ya kuunufaisha umma.
Wameigeuza nchi kuwa ‘Banana Republic’- Jamhuri ya Migomba.
Kwenye siasa Jamhuri ya Migomba ina maana ya nchi ambayo baadhi ya viongozi na watendaji wake wanafanya biashara na uchumi wa nchi kwa maana ya kutumia vibaya madaraka yao na hivyo kufanya biashara na rasilimali za nchi badala ya kuzilinda na kuhakikisha zinawasaidia wengi.
Tanzania Should Never Be A Banana Republic.
Ni Neno La Leo.
Maggid Mjengwa.
0688 37 36 52 ( Whatsapp)
Ndugu zangu,

Jembe Kilo, wewe umeona U-DC ni kitu kikubwa sana , si kila mtu anaona hivyo ikiwamo mimi. Ni mtazamo wako anyway. Ni haki yako kufikiri unavyofikiri.karibu jamvini ila nikuchane mkuu katika wanahabari makanjanja wewe Ni namba moja,unapenda kujipendekeza Sana kwenye utawala Na bahati mbaya huna nyota Kama makonda,gambo n co. Wewe unajipendekeza lakini hata udc wamekunyima. Pole Sana ila nadhani sasa akili imeanza kurudi kwa kasi. Karibu jf ila usilete ukanjanja wako huku.
nyie wanahabari mmelemazwa Na kasumba ya udc tangu enzi za nyerere. Mpo radhi kujikombakomba Ili mradi Tu mkumbukwe katika ukuu wa wilaya. Mnaifanya taaluma yenu idumae mkuu.Jembe Kilo, wewe umeona U-DC ni kitu kikubwa sana , si kila mtu anaona hivyo ikiwamo mimi. Ni mtazamo wako anyway. Ni haki yako kufikiri unavyofikiri.
Acha ujuaji usiyo na tijaSidhani kama umeelewa maana ya banana republic kwani tafsiri yake kwa Kiswahili haiwezi kuwa Jamhuri ya Migomba, banana republic ni neno ililitokea huko Amerika ya Kaskazini ambapo kuna nchi mojawapo siikumbuki jina lake ilikuwa inategemea zao la ndizi kwa kila kitu, uchumi wake mzima ulitegemea ndizi kwa export na hiyo nchi ilijaa rushwa na mismanagement ya uchumi, kila kitu kilizunguka kwenye ndizi, hiyo ndiyo asili ya neno banana repeublic hivyo sidhani kama kusema Jamhuri ya migomba ni tafsiri sahihi kwetu kwani haileti maana, maana Tanzania, ni bora hata ungesema ni Jamhuri ya chai,Kahawa au sijui labda dhahabu au ungeacha tu hivyo hivyo banana republic kwani kuna maneno huwezi kutafsiri na ukilazimisha inapoteza maana yake!!
Acha ujuaji usiyo na tija
Tafsiri yako ya Banana Republic kuwa Jamhuri ya Ndizi siyo sahihi....kimantiki Na kimuktadha Kama unafuatilia etymology ya Hilo nenoNdugu zangu,
Tuna wajibu wa kizalendo kuzuia nchi yetu isigeuzwe kuwa Jamhuri ya Migomba.
Maana, ilivyo sasa, tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia baadhi ya tuliowapa dhamana za uongozi wakiwa na matarajio ya kuvuna utajiri wa haraka kwa kufanya biashara na uchumi wa nchi ili kujinufaisha wao binafsi na makundi yao ya wizi, badala ya kuunufaisha umma.
Wameigeuza nchi kuwa ‘Banana Republic’- Jamhuri ya Migomba.
Kwenye siasa Jamhuri ya Migomba ina maana ya nchi ambayo baadhi ya viongozi na watendaji wake wanafanya biashara na uchumi wa nchi kwa maana ya kutumia vibaya madaraka yao na hivyo kufanya biashara na rasilimali za nchi badala ya kuzilinda na kuhakikisha zinawasaidia wengi.
Tanzania Should Never Be A Banana Republic.
Ni Neno La Leo.
Maggid Mjengwa.
0688 37 36 52 ( Whatsapp)
Ni kweli si tafsiri sahihi ya neno kwa neno. Lakini katika uandishi ni ubunifu unaokubalika kama sehemu ya sanaa ili kufikisha ujumbe. Ila jina Banana Republic asilitumie kama kichwa cha habari yake. Ingawaje ndani ya makala yake akipenda anaweza akalielezea ili kunogesha ujumbe.Sidhani kama umeelewa maana ya banana republic kwani tafsiri yake kwa Kiswahili haiwezi kuwa Jamhuri ya Migomba, banana republic ni neno ililitokea huko Amerika ya Kaskazini ambapo kuna nchi mojawapo siikumbuki jina lake ilikuwa inategemea zao la ndizi kwa kila kitu, uchumi wake mzima ulitegemea ndizi kwa export na hiyo nchi ilijaa rushwa na mismanagement ya uchumi, kila kitu kilizunguka kwenye ndizi, hiyo ndiyo asili ya neno banana repeublic hivyo sidhani kama kusema Jamhuri ya migomba ni tafsiri sahihi kwetu kwani haileti maana, maana Tanzania, ni bora hata ungesema ni Jamhuri ya chai,Kahawa au sijui labda dhahabu au ungeacha tu hivyo hivyo banana republic kwani kuna maneno huwezi kutafsiri na ukilazimisha inapoteza maana yake!!
Hivi umeielewa post vizuri? Au ww nao ni miongoni mwa vilazaKumbe nawe upo humu jamvini!!
Ok.
Tell Sizonje na Bashite wake waache kuifanya nchi kama yao.
Inakuwaje kiongozi atamke kauli kama hizi:"Nitatoa ..... Bilions kwaajili ya kujenga ...."
Huu ni ubinafsi uliokubuhu.