Neno la kukutia nguvu- never give up

Neno la kukutia nguvu- never give up

Wounds turn into scars and scars make you tough

Turn your scars into stars

It's a shallow life that doesn't give a person a few scars
Ujumbe murua kabisa...
 
Kuna wakati unatamani kusingekuwa na mapenzi
duniani. Unampenda mtu kwa moyo wote anaishia
kukupa maumivu. Kuna wakati unatendwa hadi
unatamani kuua lakini unaishia kulia. Usivunjike
moyo, uliyepangiwa anakuja,

Endelea kusali, hujachelewa bado.
unajisemea wewe ama? naomba tu kujua sina ubaya wowote
 
Sasa kama wako uliepangiwa hajaja kwa nini uanze mahusiano wakati uliepangiwa hajawadia ? Na utajuaje kama huyu ndie uliepangiwa je ni kutest kila mmoja au??
Bado hapa pana shidaaa!!!
Unamgundua yule uliyenaye alikuwa siye baada ya Kuyasaliti makubaliano yenu
 
joanah asikwambie mtu Kutemwa kunauma,
kuna kipindi nilijiona nakaribia kupata matatizo ya moyo, manake moyo ulikuwa unauma live yani, Usiombe
Aaah! Naelewaaa

Mi apa kati si nilibwagwa bhana

Kula hakuliki, kulala hakulaliki, kusoma hakusomeki, kulia hakuliliki. . . In short mambo hayaendii

Yaani ni disaster juu ya disaster

Hahaha
Izi mishe za kupenda ambao hayajawakuta wasikie hadithi zake tuu
 
Aaah! Naelewaaa

Mi apa kati si nilibwagwa bhana

Kula hakuliki, kulala hakulaliki, kusoma hakusomeki, kulia hakuliliki. . . In short mambo hayaendii

Yaani ni disaster juu ya disaster

Hahaha
Izi mishe za kupenda ambao hayajawakuta wasikie hadithi zake tuu
Acha tu joanah , Usinikumbushe mbali...
 
Bae hii ni ndoto tu alinihadithia rafiki yangu... Hata haiusiani namimi
halafu umenisaidia kweli moyo ulikuwa unaenda speed hata nikajishangaaa.

loooh thanks a million
 
halafu umenisaidia kweli moyo ulikuwa unaenda speed hata nikajishangaaa.

loooh thanks a million
Hahahaah, Hupaswi kuwa ivyo Bae, Mi niwako tu, Ondoa shaka
 
Amna mapenzi tena yaani kwenye shida mtu atakuchombeza weeee adi umtoe kwenye shida yake then baada ya hapo unaanzakuisoma namba... Leo mtu akajichanganya akatuma namba ya jamaa lake kwenye cm yangu alafu eti imejituma yenyewe uwiii cku sema lolote ila.... My action will speak louder thn words.. Aina haja yakupeana matumaini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom