Neno la kukutia nguvu- never give up

Neno la kukutia nguvu- never give up

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Kuna wakati unatamani kusingekuwa na mapenzi
duniani. Unampenda mtu kwa moyo wote anaishia
kukupa maumivu. Kuna wakati unatendwa hadi
unatamani kuua lakini unaishia kulia. Usivunjike
moyo, uliyepangiwa anakuja,

Endelea kusali, hujachelewa bado.
 
1476097481657.jpg
 
Wounds turn into scars and scars make you tough

Turn your scars into stars

It's a shallow life that doesn't give a person a few scars
 
Busara on fleek

Aya maneno yangenikuta kipindi kile nimebwagwa ingekua fresh sanaa

Ila thanks in advance kwa anaefata kunibwaga
wacha kujitia uchuro. wengine sie hatujui kuacha!
 
wacha kujitia uchuro. wengine sie hatujui kuacha!
Sio uchuro mkuu. . . Kuachwa hakupingiki
japo siombei kuachwa ila najua kupo so ni bora kutarajia ila kusitokee kuliko kutotarajia afu ikatokea ukabwagwa
 
Sasa kama wako uliepangiwa hajaja kwa nini uanze mahusiano wakati uliepangiwa hajawadia ? Na utajuaje kama huyu ndie uliepangiwa je ni kutest kila mmoja au??
Bado hapa pana shidaaa!!!
 
Sio uchuro mkuu. . . Kuachwa hakupingiki
japo siombei kuachwa ila najua kupo so ni bora kutarajia ila kusitokee kuliko kutotarajia afu ikatokea ukabwagwa
Ukijijenga na mentality ya siachiki, utafanikiwa kwa vile utasimamia yale unayoyaamini. Ukiishi huku unaamani kuwa ipo siku utaachika, ujue kuachwa kuko njiani!
 
Busara on fleek

Aya maneno yangenikuta kipindi kile nimebwagwa ingekua fresh sanaa

Ila thanks in advance kwa anaefata kunibwaga
joanah asikwambie mtu Kutemwa kunauma,
kuna kipindi nilijiona nakaribia kupata matatizo ya moyo, manake moyo ulikuwa unauma live yani, Usiombe
 
Dah naendelea kumuomba mungu ...naamini ntampata ..MTU atakaye kuja kunisahaulisha ..all pains
Haupo pekeyako ndugu yangu, Tupo wengi tuliopitia Majeraha ya Kutendwa mpaka mioyo imeota sugu sema ndo hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom