Neno kugegeda linamdhalilisha mwanamke

Neno kugegeda linamdhalilisha mwanamke

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Hayo ni maoni yangu kwa kuona neno kugegeda linadhalilisha mwanamke
 
Mhhhhhh! Hii ya leo kali! Wamajanga weye ni KE/ME? Unashauri neno lipi litumike?
 
Funguka basi Mkuu hili kugegeda lina tatizo gani, mbona wanawake wengi hapa wenye heshima zao hawajawahi kulilalamikia?

mi n mwanaume yapo mengi ya kutumia ila si ili.
 
Hayo ni maoni yangu kwa kuona neno kugegeda linadhalilisha mwanamke

Afadhali ya hilo. Je lile linalotumika huko mitaani si utazimia likitamkwa humu jamvini? Hili lina tafsida ambayo iko poa tu
 
Mimi nashauri litumike: kudhungu socialize = kujamiiana.
 
We uwe unatumia neno: kuchoronga, chorongo, chorongwa, chorongewa, kuchorongeana...na viambishi vingine walau upate tafsida nyepesi.
 
Back
Top Bottom