Neno gani unaliogopa katika mahaba..

Ni neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu
NITAKUFA NA WEWE!!!! (Huku kabana pua)
 
nimezisubiria wee ila bado sijaziona mmh utauliza nn,siku zangu,ayaaa hapo tu
 
I have someone else.. This was the deal breaker
Nilivumilia mengi ya niko busy, nipe time off etc,ila hapo moyo uligeuka jiwe mpaka kesho anashangaa
 
Nisindikize shopping,
Dadeki mchizi wangu alifagiliwa pokcket money yake yote time hizo Mzumbe Sec Vs Adrian Mkoba
 
Kati ya hayo uliyosema mbona hakuna la kuogopa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…