Neno gani unaliogopa katika mahaba..

Neno gani unaliogopa katika mahaba..

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,792
Reaction score
9,192
Ni neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu
 
Baby nimeona nguo mpya nimeipenda...!
Huwa najibu sasa siungeinunua sasa?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom