Umesema vema. Neno la kiingereza 'dear' lina 'utata' (i.e. lina maana zaidi ya moja!). Kwenye kiingereza neno 'dear' linaweza kutumika kama kivumishi (adjective), interjection, jina(noun) au adverb (kielezo).
Kama alivyodadavua Creative Thinker hapo juu, neno 'dear':
Likitumika kama kivumishi (adjective), linaweza kuwa na maana zifuatazo:
Pia linatumika kama kielezo (adverb) kumaanisha sana au kiasi kikubwa (mfano: The effort would cost them dear).
- mbaya (i.e. severe, sore mfano: .. in our dear peril)
- enye thamani (highly valued Mfano dear friend) kwenye barua za kiofisi nadhani linabeba maana hii.
- enye kupendwa (affectionate, fond)
- aghali (expensive mfano: mangoes are very dear just now)
Linatumika kama jina (noun), linaweza kuwa na maana ya: Mwenye kupendwa/mpenzi (a loved one sweetheart!) au Mtu anaependeka (a lovable person).
Pia, neno dear linatumika kuonesha kukerwa, kushangazwa nk (interjections or exclamations) mfano: Oh, dear! Does it hurt?, Dear me! Thats a surprise!
hili neno la kingereza lina utata katika matumizi. maana yake hasa ni nini? kwenye barua utakuta Dear sir/madam. tunaambiwa dear ni mpenzi, so tuseme mpenzi kwenye barua rasmi? maana yake hasa ni ipi? naombeni jibu
hili neno la kingereza lina utata katika matumizi. maana yake hasa ni nini? kwenye barua utakuta Drea sir/madam. tunaambiwa dear ni mpenzi, so tuseme mpenzi kwenye barua rasmi? maana yake hasa ni ipi? naombeni jibu
1.Tusichanganye maneno ya mitaani katika mawasiliano rasmi.
2."Dear" ina maana nyingi na siyo lazima iwe "mpenzi"..Neno "Dear" lina maana kadhaa kwa kiswahili ukiachilia mbali hiyo "mpenzi" ambayo kiingereza sahihi ni "darling".Hebu tutafsirie mpenzi wangu kwa kiingereza - ina maana utasema "my dear" au utasema "my darling"?
3.Nionavyo mimi katika lugha rasmi neno "Dear" Linamaanisha "mpendwa" au "kitu cha thamani".The opposite of "dear" is "cheap"
mshakaji kuna baadhi ya maneno huwezi kupata maana halisi hususan unapo litafsiri toka lugha moja kwenda nyingine, Dear ni neno la heshima na si la mapenzi thats why hata kwenye barua muhimu kama za kikazi una andika Dear sir/madam.
nakubaliana nawe....
pengine maana ya karibu ingawa sina hakika kama ni tafsiri sahihi ni
Mpendwa Ally Mkali....salaamu sana na amma baada ya salamu....hii ni kwa mujibu wa namna ya kuandika barua kama tulivyofundishwa enzi za mwalimu.
kuna tofauti kubwa baina nya mpenzi na mpendwa na pengine huu ni mjadala mwingine
Mkuu wamekutenda nini ? nani ni/si wa kiswahili kwako?Wanawake wa kiswahili bana...
Eti dia......ha ha ha....
hili neno la kingereza lina utata katika matumizi. maana yake hasa ni nini? kwenye barua utakuta Drea sir/madam. tunaambiwa dear ni mpenzi, so tuseme mpenzi kwenye barua rasmi? maana yake hasa ni ipi? naombeni jibu
mkuu wamekutenda nini ? Nani ni/si wa kiswahili kwako?
hukunielewa..
Umenikumbusha, jamaa yangu mmoja, siku za mwanzo alikuwa anapata tabu sana, haswa anapokuwa anampisha mtu mzima kiti (Vibibi vya kizungu) kwenye basi au train... Alikuwa ananilalamikia kwa kusikia akiambiwa Thanks you my love... au wakati mwingine Thanks you honey...hili neno la kingereza lina utata katika matumizi. maana yake hasa ni nini? kwenye barua utakuta Drea sir/madam. tunaambiwa dear ni mpenzi, so tuseme mpenzi kwenye barua rasmi? maana yake hasa ni ipi? naombeni jibu
Umenikumbusha, jamaa yangu mmoja, siku za mwanzo alikuwa anapata tabu sana, haswa anapokuwa anampisha mtu mzima kiti (Vibibi vya kizungu) kwenye basi au train... Alikuwa ananilalamikia kwa kusikia akiambiwa Thanks you my love... au wakati mwingine Thanks you honey...
Ki uhakika hao waliokuwa wakipishwa sit za kwenye bus au train hawakuwa na fikra hizo ambazo jamaa yangu alikuwa anazifikiria. Wahusika walikuwa wanaonyesha shukrani zao kwa heshima na kujali kwa jamaa yangu... sasa ndugu ikawa inamchanganya kidogo... baadae alikuja zoea misemo ya namna hiyo...!
Msemo mmoja unaweza kuwa na maana tofauti kulingana na wakati au mtu unaye mkusudia... Nadhani walio tangulia wameeleza vizuri sana matumizi ya ilo neno 'Dear.'
Ah ah ah ah...! Hakuwahi kujaribu maana naye alikuwa ndio kwanza ana wiki chache kuwepo ndani ya nchi, na baadhi ya misemo ilikuwa inampiga chenga.hakujichanganya na kuviomba? maana wabongo hatuchelewi. umenikumbusha tena na neno 'honey' kwa kiswahili halitamkiki unapoongea na mtu. eti asali!
1.Tusichanganye maneno ya mitaani katika mawasiliano rasmi.
2."Dear" ina maana nyingi na siyo lazima iwe "mpenzi"..Neno "Dear" lina maana kadhaa kwa kiswahili ukiachilia mbali hiyo "mpenzi" ambayo kiingereza sahihi ni "darling".Hebu tutafsirie mpenzi wangu kwa kiingereza - ina maana utasema "my dear" au utasema "my darling"?
3.Nionavyo mimi katika lugha rasmi neno "Dear" Linamaanisha "mpendwa" au "kitu cha thamani".The opposite of "dear" is "cheap"
basi tukubali kuwa kibongobongo tunalitumia vibaya
ndio maana nataka kujua maana yake kwa kiswahili. badala ya dear ungetumia neno gani?