Neno benten limetoka wapi...?

Katuni ya ben10
 
Naongelea age difference nikama kaka yangu


Cc Smart911
Hapana huyo hawezi kuwa kama kaka wala baba. Hakuna replacement ya ndugu wa dam au mzazi kwenye mapenzi. Nathan unaelewa. Labda kama unakua ushamchoka mwenza ndo unaweza kumwambia unamuona kama kaka, mama, baba nk.
 
Haina haja ya kujielezea chochote...
Unajielezea kwangu tu basii...
Sawa Nimekuelewa love..
Hapana mkuu hapa nimeongea jeneral ama kwa ujumla wake na kwa MTU yoyote. Usimwekee kama kaka huyo ni zaidi ya kaka...
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hembu nenda ka watch hii katuni kwanza ndo uje hapa

Hadi watoto wa primary ben 10 wako namju huyo catoon, yuko mjanja janja kama play boy flani hivi, run ka watch then ukuje
 
Sawa Nimekuelewa love..

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120]
 
Wabongo bwana wanapenda sana kufananishia...neno nyambizi liliibuka ghafla baada ya nyambizi ya kirusi kuzama..baada ya hapo wabongo wakaanza kuwaita wanawake wanene manyambizi....hali kadhalika ben 10 ni katuni ya mtoto hivyo wabongo wakawaita wanaume wadogo wanaotembea na wanawake wakubwa kuwa ni watoto hivyo ni viben 10... Yaani vitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…