.. Neno...Bao..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,644
79,055
Neno..kupiga/kuwapiga/kumpiga bao

A. kuwapiga bao = kuwafunga au kuwazidi ujanja
B. kupiga bao = kufunga kwenye mechi ya mpira
C. kumpiga bao = kumpiga mtu kofi

NENO moja ...maana kibao!!!
 
Leo leo mtu anahadithia ofisini eti amempiga bao tano ameniudhi kweli
 
Mie hapa hata sielewi mnajalili mabao gani hapa!embu ngoja nifike hapo mbele kwanza lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…