Neno Tapeli linatokama na kifaransa tear per limaanisha mtu janja janja au mrushi ilietwa kwetu ikitokea Kongo Drc enzi hizo ikiitwa Zaire
Wakongo walikuwa wakifsnya biashara wakahisi ni mjajnja wanamuita hivyo, wabomgo kwankushinddwa kulitamka neno hilo vizuri ndo tukaishia kusema Tapeli.