Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Mkoromije mwenyewe, ndio maana amuolewi na mkioelwa asubuhi taraka [HASHTAG]#Ngwear[/HASHTAG] R.i.p
 
Kumbe ni sexlex wala sina neno na wewe mkuu wangu
 
Hopeless
 
Upo sawa sana kwa umri wako, kuna siku hilo ziwa litakosa mteja!!!! ni mapema sana kuliacha wazi kwa sasa! ataenda, wajanja watakuja, wajanja hawakai mda mrefu, KUNA SIKU UTAAMINI KWAMBA washamba huwa wana develope na kuwa wanaume wazuri SANA!
Kama mimi, nlikuwa mshamba sana kipindi hicho nasoma. Simu yangu ya kikolomije haswa, wadada waliokuwa wananivutia kipindi hicho daily wanaenda disco kwa kuwa wanapata ma-boom na wazee wao walikuwa wakiwatumia pesa. Nlipokuwa nkimwambia yule dada hiyo sio tabia nzuri kuvaa hivyo na kutoka night wakati wazee wako wanajua sasa hivi umelala au unakesha kwa kusoma aliniona mkolomije.

Mkolomije mimi sasa nimedevelope, nimekuwa mume wa mtu alienipenda na ukolomije wangu raha kwa kwenda mbele. waliokuwa wajanja kipindi kile sasa hivi WANAISOMA NAMBA.

Muache sexless asubiri wajanja....
 
Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
wa kwetu neno kuntu hilo cha wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…