Nenda nje kama mbabe

Nenda nje kama mbabe

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,299
Wewe ni mbabe sawa wewe una nnguvu sawa hapa ndani shuleni umeshatumudu unatupiga wote
Basi sasa nenda nje ukapambane na wababe wenzio maana humu kwenye zizi hili wewe ndio mbabe hebu nenda nje ya zizi tupumue kwa wababe wenzio

Kelele tupu ndani nenda shule jirani kwenye dibeti utuletee kombe ukiwazidi vipanga wa nje sio ndani.
 
Naunga mkono hoja... ..

Ila sijui ni nani mlengwa.
Ni jamaa mmoja alikuwa mbabe sana skuli sasa kwakuwa alitusumbua sana ndani mpk tukakosa raha tukaamua kumtafutia mapambano ya nje ili tu nacc tuwe na raha ßhuleni kwa kutokuwepo kwake lakini pia ailetee sifa shule kwa ubabe wake wa dibeti nà nguvu zake hii ilikuwa miaka ya 80 kiomboi huko
 
Wewe ni mbabe sawa wewe una nnguvu sawa hapa ndani shuleni umeshatumudu unatupiga wote
Basi sasa nenda nje ukapambane na wababe wenzio maana humu kwenye zizi hili wewe ndio mbabe hebu nenda nje ya zizi tupumue kwa wababe wenzio

Kelele tupu ndani nenda shule jirani kwenye dibeti utuletee kombe ukiwazidi vipanga wa nje sio ndani.
Mbwa koko unamtuma kwenye mijibwa mikubwa ya kizungu, unataka akaharishe hadharani kwa kihoro?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom