Nenda mpenzi wangu

Nenda mpenzi wangu

kwani wewe ni nani hata usipate experience ya kuumizwa na mapenzi kidogo,
kila kitu kinataka experience siku hizi, siku ukija kuingia ndoani unakuwa una uzoefu wa vingi.

ndo maisha hayo, jipange anza upya
 
Back
Top Bottom