Hahaha daddy angu silent killer mwenyewe. Kwa huyo hujawahi kuumia kabisa?
Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi sikuwahi kumgegeda pamoja na kunilia vyote hivyo,kila nikimkumbuka naumia sana naishia kumuona fb tu.
Kiroho safi muache aolewe utampata na wewe wako umuoe maana kila jambo linatokea mie huwa naamini ni mipango ya Mungu
Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi sikuwahi kumgegeda pamoja na kunilia vyote hivyo,kila nikimkumbuka naumia sana naishia kumuona fb tu.
Hakuna namna nyingine
Aah hapo nimekuelewa, kujitesa hapana kwa kweli na Mungu atuepushie mbaliTeh teh..Douta mi Sio silent killer..Btw sijasema kuumia..Nimesema kuteseka..Maumivu ya masaa kadhaa yanaweza kuwepo..
Wakati nalainisha moyo kupenda sio kama ninakosea
ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo ilipotea
hali ya mtoto kumsusa mama akishachapwa
ni sawa na mapenzi
ukishapendwa
unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi
nakumbuka nilijuta sana kupenda kupenda kusikokua
na thamani
ila hitaji la moyo lalazimisha kurudia zamani
Nikumbushe jina la wimbo mkuu
Nikumbushe jina la wimbo mkuu