Nenda Hans Pope nenda Godfrey Nyange Kaburu

Nenda Hans Pope nenda Godfrey Nyange Kaburu

Simba inabdi watulie na wampe kocha muda wakutosha nawatumie vijana chipukizi zaidi kuliko hao walikula chumvi nyingi
 
Rage nae mzee wa mabastola ataondoka lini, mi nadhani yeye kama mwenyekiti ndie alitakiwa kujiuzulu hata kabla ya watu wengine. Rage ndo ameifikisha simba hapo alipo tena ilitakiwa ajiuzulu kwenye ndege wakati timu inatokea Angola kupigwa na Liboro
 
  1. Nimepokea kwa furaha kuu kujiuzuru kwnu... uamuzi huu mmechelesana kuuchukua...
  2. Mmekuja simba na kupewa uongozi nyadhifa kubwa bila kuwachunguza kama kweli mlistahili nyadhifa hizo au ni ubabaishaji ulitumika katika kuwachagua au kuwateua...
  3. Mmefanya usajili wa ajabu ajabu kwa gharama kubwa lakini wachezaji mnaowaleta ni feki.. mlisajili Congo, Kenya, uganda, Ivory Cost, na hapo hapo mkauza wachezaji hovyo hovyo bila kutafuta mbadala ya wachezaji mnaowauza...
  4. Mkafukuza makocha bila kuwana mpangilio... kwa kweli mmekuja Simba lakini mmeiharibu Simba hakuna mlichokifanya cha ziada bali mmeuza sura na kujulikana pasipo manufaa kwa klabu...
  5. Ondokenieni.... mlivyoikuta Simba mtaiacha na itaendelea kuwepo ... wapo waliopita katika uongozi na hata uchezaji... kwa maana hiyo nendeni kwa salama...
  6. Wanachama wa Simba kuweni makini na kukurupuka kuchagua viongozi ambao sio watu wa mpira... angalieni na historia zao kama kwli wanapenda BANGO la Simba au wababaishaji.....

mkuu kama unakadi ya uanachama wewe upo juu!
 
Mlale pema pepon hope yele mabasi yasimba ayako kwenu kama mlivyokuwa mksingizia yanalalala kwako kabolo kwa sababu ya usalama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom