speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
Daaaaaa! we mrembo umenishawishi kuchangia mada, nimecheka sana! punguza ukweli basi Mummy.Mpendwa maisha ya uboifrend na ugelofrend ni tofauti na maisha ya ndoa, ugelofrend na uboifrend mara nyingi ni fekelo life ukimwambia Bae nletee chips kuku analeta hata kama ni saa sita usiku, ila ndoani unaeza sema tu nna hamu na chips kuku ukajibiwa "qummmamae"