Nembo ya WHO ni tatanishi?

kaangalie na hospitali kule moshi pia ipo na karibu kufanana
Kuwepo hospitali sio hoja.

Ndio madhara ya kuiga iga tusiyoyajua.

Hao walioweka hiyo nyoka sipitali wanajua maana yake halisi?
 
Kuna utofauti kati ya uponyaji na utabibu.

Nyoka wa biblia aliashiria uponyaji wa miujiza.

WHO sio taasisi ya miujiza. Ni taasisi ya kitabibu.

Kwanini nyoka!?
 
Pole sana, ongeza jitihada katika kuchunguza mambo kabla hujafika WHO, anza na alama za hospitali za hapo hapo ulipo.
Kwani zikiwepo hospitali ndio nini?
 
Wanyama wamekuww wakitumika kama nembo taasisi nyingi tu, ni nembo tu mbona ligi kuu ya England nembo take Ina Simba?
Nembo ya Ikulu ya Marekani Ina Alana ya Tai n.k
Hizo alama sio za bahati mbaya.

Wakati mwingine ni spiritual symbols.
 
Suala ni alama ya hizo hospitali. Ni ushauri tu nilitoa, usipoupenda achana nao.
Hao wanaoweka hizo alama mahospitalini wanajua maana zake au wanapachika tu ilimradi?

Wazee wa kukopi na kupesti. Wakiona kitu na wao wanabandika tu.
 
Ana sumu,pia ana jua dawa za kujitibu
 
Zamani Ugiriki ndiyo ilisifika kwa tiba, wenye wagonjwa walipeleka huko na tiba ilihusishwa na nyoka. Mgonjwa aliwekwa kwenye chumba chenye nyoka na walimtembelea usikumzima bila kumdhuru na asubuhi ugonjwa unakua umetoweka.
 
Walio ibuni hii alama,wanaamini kuhusu uwepo wa Mungu na Miujiza yake(WHO),kinyume na hapo Basi ,watakuwa ni walozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…