The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,081
- 14,116
Kwanza napenda kusema, nafikiri Nembo yetu ni nzuri kuliko nyingi nilizopata kuziona na aliyei-design anasitahili pongezi sana. Sijui kama amekuwa recognized kwa kazi yake kama bado basi bado tuna nafasi.
Nchi nyingi duniani zinatumia wanyama kwenye Nembo ya taifa. Tanzania nembo yetu ina watu wawili, mwanamke na mwanaume. Kwa jinsi Ufisadi ulivyokithiri nchini, kila nikiiona inanikumbusha Mafisadi wawili badala ya Uhuru na Umoja. Ni kama vile Mafisadi wajiweka mbele kwenye nchi yetu! Wanyama hawaibi, hawafisadi wala hawazulumu.
But I can't imagine Twiga wawili wamesimama wanatazamana!Bora tuendelee na hii wakati JPM akitumbua majipu!