Baada ya kuangalia video hii naona Mandela anasema mema kuhusu Wayahudi tena kwa heshima. Anataja marafiki Wayahudi kama Helen Suzman (mpinzani wa apartheid katika Afrika Kusini, Myahudi). Sielewi kwa nini umeleta video hapa pamoja na maneno ya dharau kuhusu jumuiya ya kidini??