Nelson mandela akiiongelea Palestine

Kipala

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
3,610
1,500
Magaidi ya kiyahudi walidhani wanaweza kumnunua Mandele,wakijifanya wana urafiki nae wa kinafki,wakasahau mandelea is a state man with pride.

shame on you ,jewish extremist lunatics mnaotingisha vichwa

Ni nani aliyejifanya rafiki wa Mandela kwa unafiki?
 

Kipala

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
3,610
1,500
Baada ya kuangalia video hii naona Mandela anasema mema kuhusu Wayahudi tena kwa heshima. Anataja marafiki Wayahudi kama Helen Suzman (mpinzani wa apartheid katika Afrika Kusini, Myahudi). Sielewi kwa nini umeleta video hapa pamoja na maneno ya dharau kuhusu jumuiya ya kidini??
 

chuma cha reli

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
2,629
2,000
Wewe ujamuelewa Mandela alichomaanisha ni kwamba hata kama wao wanamuona Yasser Arafat ni gaidi kwake yeye atabaki ni Comrade tu

Mwisho anaitimisha kwa kusema Jews pia ni rafiki zake amewataja na majina na wamesaidia sana kwenye harakati za ANC

Ametaadhalisha wasimuingize kwenye huo mtego wa kisiasa na wakitaka hivyo basi atawahutubia kwa msimamo mmoja

Yeye anawaona wapalestine wanapigana vita kama yao ya kutambulika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom