- Thread starter
- #21
Kali sana mkuu, ila hapa kwenye hii ya mshana umesahau kuongeza uteo, au hata kibwengo .....natania tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kali sana mkuu, ila hapa kwenye hii ya mshana umesahau kuongeza uteo, au hata kibwengo .....natania tu.
kazi nzuri....nasubiria yako niweke avatar babe
Mwenyewe nimenuna sjatengenezewa babe we nelly poulkazi nzuri....nasubiria yako niweke avatar babe
Da'vinci, Demiss ziko poa pia
amkumbuke na Ambiele Kiviele kila uzi yeye analalamika tuMwenyewe nimenuna sjatengenezewa babe we nelly poul
Usijali madame s ntakutengenezeaMwenyewe nimenuna sjatengenezewa babe we nelly poul
Mwambir anitutengenezee babeamkumbuke na Ambiele Kiviele kila uzi yeye analalamika tu
Aya ntashukur
tunasubiriAya ntashukur
ndio baetunasubiri
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah Shemeji bhana umeniflaisha sana Shemejiamkumbuke na Ambiele Kiviele kila uzi yeye analalamika tu
Tengeneza na ya Mbushuu tunaweza kufanya kitu kwa bdae
Hebu jaribu Jina langu tuone