Nehemiah Mchechu yupo Channel Ten Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nehemiah Mchechu yupo Channel Ten Leo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Stuxnet, Jul 19, 2011.

 1. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  CEO Wa NHC yupo na Makwaiah Kuhenga kwenye kipindi ambacho ni recorded. Kwa haraka haraka nimeona strategic vision na shirika hili kongwe na ametaja some quick wins kama vile ku-improve liquidity ya shirika, mpango kazi Wa kujenga nyumba za kuuza badala ya kutegemea kodi ya pango na mengine mengi. Ingawa huyu dogo alipata kazi hii ya CEO wa NHC kiukanda ukanda, lakini anaonekana Ana tangible deliverables!! Amenifurahisha, mwenye choyo na ajinyonge
   
Loading...