Negative thinking juu ya mume/mke/mpenzi wako...

hapa naona watu wana feeling kuwa simu zisingekuwepo mambo yangekuwa shwari, kwa wale wote mnaofeel hivi kwanin msiache kununua yani we kaa na mpenzi wako wote mkiwa hamna simu..wajameni simu hazina matatizo tena zinamsaada mkubwa sana katk maisha yetu ya kila siku tatizo lipo kwa mtumiaji na matumizi halisi ya hiyo simu .....
 
Back
Top Bottom