juctn Mt
Member
- Jan 12, 2019
- 38
- 37
Ww
Njaaaa tuWanabodi,Habari ni bure na sisi waandishi wa habari tunaingia popote kwenye habari, lakini kinapotokea matukio muhimu kama haya, Wanaachaguliwa waandishi wa habari wa vyombo muhimu, na hata huko newsroom wanachaguliwa waandishi wenye nidhamu ambao hawawezi kuwa embarrass wageni. Kwa kawaida sisi ma freelance huwa hatualikwi na haswa inapotokea ma freelance wenyewe ni wale wa type maswali magumu ndio sahau kabisa!. Nasubiria kuangalia interviews za vox pop na one on one za waandishi wetu na marais wa SADC kama interview hii
Hivyo leo nikaamua kajialika mwenyewe kwa Wachonga Vinyago na wajasiliamali wa Makonda waliopewa maeneo kupanga bidhaa zao kuchangamkia fursa za Mkutano huu wa SADC.
Kwa vile ugeni mkubwa bado upo naomba nisiseme nilichoona wala nisiwaeleze hawa wajasiliamali wamesema nini, maana nidhamu na adabu mbele ya wageni ni kuongea mazuri tuu hadi ugeni uondoke, nisije kunyooshewa vidole yaani katika yoote ya Mkutano huu wa SADC wewe ndio ukaamua kuangazia Wachonga Vinyago na wajasiliamali wa Makonda wamefaidikaje na Mkutano huu!. Ngoja tunyamaze kwanza wageni waondoke ndipo tuelezane.
Thanks God mimi kufuatia uzoefu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya wazungu na Waswahili nilitoa angalizo kabla.
Mkutano wa SADC: Hongera kwa Uhamasishaji, Watanzania Tumehamasika Tusiishie Kuhamasikia Mkutano Tuu Tukashindwa kuchangamkia fursa za Soko la SADC
Wanabodi, Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo natoa angalizo kuhusu kuchangamkia fursa za Mkutano wa SADC na Maonyesho ya SADC, kwanza kwa vile maonyesho haya ya SADC, yamegongana na maonyesho ya Nane Nane ambayo kitaifa yanafanyika mkoani...www.jamiiforums.com
Tukiachana na hawa Wachonga Vinyago na wajasiliamali wa Makonda, kuanzia saa 4:00-6:00 nika amua kujisogeza katika mgahawa wa KFC jirani na ukumbi wa Mkutano ili kusubiria labda mkutano ukiishafungwa ndipo wajumbe, watavamia Vinyago, huwezi amini katika masaa mawili hayo, mteja aliyeingia hapo KFC ni mteja
mmoja tuu, mimi!.
Hii maana yake ni kuwa kwa hii KFC ya mjini, kama hali hii ni Jumapili tuu, au sabbu ya mjtano huu, lakini kama ni purchasing power, then inaweza kuwa inapumulia mashine, na haina maisha marefu itafungwa.
Naomba wenye uwezo wa kutunza kumbukumbu naombeni mtunze kumbukumbu ya bandiko hili ili hili la KFC ya mjini ikija kufungwa mjue kuna waona mbali walioona.
P.