TuntemekeSanga JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 1,346 Reaction score 863 Mar 16, 2015 Thread starter #21 SMU said: Duh.....ipoje hiyo? "Tinginya" kama hilo inabidi uwe na muda wa kutosha hasa. Click to expand... Sawa kabisa! Mambo mazuri hayataki papara. Unakwenda mdogo-mdogo(mwendo wa kitorondo). Ukipaparika, inakula upande wako.
SMU said: Duh.....ipoje hiyo? "Tinginya" kama hilo inabidi uwe na muda wa kutosha hasa. Click to expand... Sawa kabisa! Mambo mazuri hayataki papara. Unakwenda mdogo-mdogo(mwendo wa kitorondo). Ukipaparika, inakula upande wako.