Neema kwa walimu, kulipwa malimbikizo

Neema kwa walimu, kulipwa malimbikizo

Serkal ilisema ingewalipa walimu wote wanaoidai stahiki zao wiki iliyopita. Lakini hadi jana mishahara inatoka hakuna alolipwa madai hayo.

Hapa bado tunaona CCM ni ileile na washakata tamaa ya kuendelea kuongoza

Tumeona Kipaumbele Kwanza Magari Ya Polis, Waalimu Wanaweza Wakakopa Benk Wakaishi, Watalipwa Mara Serikali Itakapopata Hela. SERIKALI YA C.C.M INAWATHAMINI NA KUWAHESHIMU SANA WAALIMU. NI MATEGEMEO YA CHAMA CHANGU CHA C.C.M WAALIM WOTE MTAUNGANA KUKIWEKA MADARAKANI CHAMA HIKI ILI MJE KULIPWA MADAI YENU HAPO MWAKANI PINDI SERIKALI IPATAPO PESA. Chagua C.C.M
 
Siku zote walikuwa wapi.......? Hii kama hongo; haki yangu hadi kwa mbinde.....?
hatimae serikali imeamua kuwa lipa watumishi hao madai yao yasiyokuwa malimbikizo ya mashahara. Hii ni pamoja na hela za likizo. Takribani 10bn zinatarajiwa kulipwa muda wowote kuanzia sasa.

Je, hii ni kuwalegeza walimu waichague ccm ama ni utekelezaji wa serikali yetu sikivu baada ya kujionea hali ngumu za walimu huko ktk kampeni?

Mungu ibariki tanzania.
 
Back
Top Bottom