Neema kwa walimu, kulipwa malimbikizo

Neema kwa walimu, kulipwa malimbikizo

Walimu tunautashi na akili za kutosha ndio maana tunafundisha na kuwatoa watu ujinga,leo hatuwezi kufanywa wajinga kwa kulipwa malimbikizo kipindi cha uchaguzi.Poleni sana tunajua kwa nini hzo hela zinakuja leo ila sisi na wanafunz tunaowafundisha kwa pamoja tumechagua mabadililo-Lowasa,Lowasa-mabadiliko.
 
Hapa mbona wanatajwa walimu tu! wakati na sisi wengine pia tuna madai kibao tu, na sisi pia ni watumishi kama walivyo watumishi wengine!!!
 
CCM bwana, wamekomba bilion 35 toka CWT halafu wametumia nyingine na kidogo zinazobaki wamekuja kuwalipa walimu ilihali pesa wanazolipwa ni za kwao! Kweli hii ni Bongo...
 
Unajua serikali hii chovu haina uwezo wa kufikiria,yaani imewaona waalimu majuha kiasa kwamba watashindwa kutambua haya malipo ya sasa ni ya kuwavuta tu kuwatumia kisha kuwatupa mpaka 2020,hiyo ni haki yangu bado tar 25,oct naichinjilia mbali chama dhalimu sisimu
 
Hata wakinipa posho out of salary kura nitampa lowasa
 
Mkuu katika muendelezo huo huo wa kukumbushana ni kwamba "areas" na "arreas" vyote siyo sahihi. Sahihi ni "arrears". Kama ni katika umoja ni "arrear" na wingi inakuwa "arrears".

hahahaha Nyaka-one umenifurahisha
 
Watanzania wanamuamini Magufuli, na chini ya uongozi wake mambo yatakuwa sawa na poa sana. wanaombeza narudia tena wanaombeza, iko siku watamkubali na kumpigia saruti. TUMAINI JIPYA LINAKUJA KWA WATANZANIA

Haya ni makosa ya kisarufi, ni vema ukarudi tena class one upya, achana na division five jipange uanze maana Elimu kuanzia chekechea ni BURE mpaka Vasiti ni nafasi yako ya ukombozi wa kifikra kupitia ukombozi wa EL.
 
Nitajie fisadi anayemzidi ccm!

Umewahi kusikia fisadi katoka chadema/upinzan kwa ujumla katika maisha yako?

Tafakari upya

Fisadi lowassa kafukuzwa ccm kajininunulia Chama sasa ni mmiliki wa chadema.
 
Serkal ilisema ingewalipa walimu wote wanaoidai stahiki zao wiki iliyopita. Lakini hadi jana mishahara inatoka hakuna alolipwa madai hayo.

Hapa bado tunaona CCM ni ileile na washakata tamaa ya kuendelea kuongoza
 
Waalimu wengi Wa Bongo Hawajitambui.....Kwanza wengi wao Ndio Tegemeo la Watawala Kwa Goli la Mkono. Ngoja Walionje

joto la Jiwe hadi Watakapojitambua.
 
Usiwe na wasiwasi Mkurugenzi aliyechelewesha malipo hadi atafukuzwa kazi mara moja wiki hii haiishi maana wasomi wako wengi huko mitaani -- AHADI
 
Serkal ilisema ingewalipa walimu wote wanaoidai stahiki zao wiki iliyopita. Lakini hadi jana mishahara inatoka hakuna alolipwa madai hayo.

Hapa bado tunaona CCM ni ileile na washakata tamaa ya kuendelea kuongoza

Yale magari zaidi ya mia saba ni ishara tosha ya kile ccm inachotaka kufanya kwenye uchaguzi!maana uzoefu wa kutangaza matokeo wanayotaka kibabe umeonesha kuwepo upinzani mkubwa na hicho ndicho wanachotaka kuzuia

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Serkal ilisema ingewalipa walimu wote wanaoidai stahiki zao wiki iliyopita. Lakini hadi jana mishahara inatoka hakuna alolipwa madai hayo.

Hapa bado tunaona CCM ni ileile na washakata tamaa ya kuendelea kuongoza

Hivi kweli mishahara imeshatoka?
 
Serkal ilisema ingewalipa walimu wote wanaoidai stahiki zao wiki iliyopita. Lakini hadi jana mishahara inatoka hakuna alolipwa madai hayo.

Hapa bado tunaona CCM ni ileile na washakata tamaa ya kuendelea kuongoza

Ni kweli kabisa, jamaa yangu mmoja yuko Dodoma amemipigia simu huku anasikitika sana kuwa hawajambadilishia mshahara wa daraja jipya wala kulipwa madeni yake ya muda mrefu.
 
Kuna WALIMU wako chini ya WIZARA yaani KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU.hao waandikie MAUMIVU hawa mafaili yao yapo Ktk Halmashauri Ila MISHAHARA inatoka WIZARANI. HUWA ni walimu wa MWISHO kupata MISHAHARA yao.

Waliwaondoa kwa sasa wapo chini ya kurugenzi
 
Ni kweli kabisa, jamaa yangu mmoja yuko Dodoma amemipigia simu huku anasikitika sana kuwa hawajambadilishia mshahara wa daraja jipya wala kulipwa madeni yake ya muda mrefu.

Mkuu ni PM namba ya sim ya jamaa yako wa Dom kama hutojali maana case zetu zinafanana
 
Back
Top Bottom