Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 583
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kwenye sherehe ya may day ametoa neema kwa wafanyazi kwa kupunguza kodi ya mapato PAYE kutoka asilimia 11 mpaka asilimia 9 yaani single digit kama ilivyombwa na wafanyakazi wenyewe kuptia risala iliyosomwa na katibu mkuu ndugu Nichorus mgaya ,
my take; wito kwa wafanyakazi ni kufanya kazi kwa bidii na weledi uliotukuka ili kuifanya Tanzania kwenda kwenye kipato cha kati
my take; wito kwa wafanyakazi ni kufanya kazi kwa bidii na weledi uliotukuka ili kuifanya Tanzania kwenda kwenye kipato cha kati