Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
I have never been enrolled in any social security. This is my 2nd work permit. Even first permit also nothing has been done.
What is his full name, I want to confirm something with NBAA.
I have never been enrolled in any social security. This is my 2nd work permit. Even first permit also nothing has been done.
Wakwepa kodi lazima walipe kodi by any means especially under Magufuli regime...ahahahaaaa naona mkwamo kama si kifo cha GSM power kwa mbaaaali mkuu....Magufuri hanaga utani na wanakwepa kodi kabisa
...yeah sure mkuu,_hawa jamaa wameingia choo cha kikeWakwepa kodi lazima walipe kodi by any means especially under Magufuli regime
...typical theftThese guys bring in internationals, and cut their payroll cost by not enrolling them to Social Security Funds, locals are paid low and get enrolled to Social Security Funds. Theft.
...huyu Chabruma ndio nani mkuu,huyo mwingine kila MTU anamjua
Lazima madudu mengine yafukuliwe kwanza hao GSM walikuwa wanakwepa kodi sana...yeah sure mkuu,_hawa jamaa wameingia choo cha kike
Wamekwepa kodi tangu enzi za mkwere mkuu,_wanachokosea ni kutosoma alama za nyakati....Magufuri hana utani na wakwepa kodi kabisaLazima madudu mengine yafukuliwe kwanza hao GSM walikuwa wanakwepa kodi sana
Wamekwepa kodi tangu enzi za mkwere mkuu,_wanachokosea ni kutosoma alama za nyakati....Magufuri hana utani na wakwepa kodi kabisa
Sina shida na hilo mkuu,_serikali ya awamu hii wako serious mno na kodiNa walipata favor sana had hyo biashara kusimama. Naomba serikali iwakague vzuri madudu yao, walipe kodi ka Raia wa kawaida wanalipa na fine na wao wachunguzwe
Sina shida na hilo mkuu,_serikali ya awamu hii wako serious mno na kodi
Nina uhakika tangu jana serikali kupitia mamlaka zinazohusika eg,Tra,Nssf/Ppf,Migration, Takukuru etc zimeanza kujipanga kuwabana hawa wahujumu uchumi wa miaka mingi...hawatachomoka kabisaKwa kweli itapendeza wakifatiliwa vzuri historia yao ya kodi maana kipindi cha nyuma waliingiza vtu vingi Bila kodi
Wawafatilie tu vzuri hawa jamaa wa najifanya wajanja na wanajua short cut kwa kutoa fedha kwa watumishi wasio waadifu, pia kwanini waajiri foreigners wakati hzo nafasi zinaweza kufanywa na wazawa kabisaNina uhakika tangu jana serikali kupitia mamlaka zinazohusika eg,Tra,Nssf/Ppf,Migration, Takukuru etc zimeanza kujipanga kuwabana hawa wahujumu uchumi wa miaka mingi...hawatachomoka kabisa
...haya sasa,..nilisema hawa GSM kama wangekuwa wajanja wakimalizana na huyu jamaa kitambo ili kumfunga mdomo
...kiburi cha kumtegemea Bashite & co,_kitawaponza soon