Need to launch complaint against GSM GROUP

Niambie faida moja tu ya hili bandiko lako, na mimi nitakupa sababu lukuki za kwanini ni useless.

Na hii ni kwa muktadha uliopo...

Huoni kwamba bandiko lako lime igonre mambo ya msingi zaidi?
 
Niambie faida moja tu ya hili bandiko lako, na mimi nitakupa sababu lukuki za kwanini ni useless.

Na hii ni kwa muktadha uliopo...

Huoni kwamba bandiko lako lime igonre mambo ya msingi zaidi?
Huwajui wahindi, huyo anajifanya kuwa na urafiki na sisi tumsaidie lakini asikudanganye mtu hao hawanashukrani, wanaroho mbaya na za kibaguzi aende kwao akashtaki.
 
Sasa si hao wahindi japo wakweli wanasifia wingi wa vyakula na mboga zetu kuliko wazungu wanaoona maralia,ukimwi,umasikini na ujinga pekee.

alafu acha unafiki wa kuusema ubaguzi wa wengine kibaguzi zaidi.
 
Wote hakuna mzuri kwetu, hao wahindi wanabagua ngozi nyeusi huko kwao mwaka jana wamemuuwa mwanafunzi kutoka Afrika kisa alikuwa na urafiki na binti wa kihindi
 
Very sorry brother. I will help with wtichcarft docter to make them grieve
 
Excellent
 
Wote hakuna mzuri kwetu, hao wahindi wanabagua ngozi nyeusi huko kwao mwaka jana wamemuuwa mwanafunzi kutoka Afrika kisa alikuwa na urafiki na binti wa kihindi

Hata wewe ni uthibitisho wa namna wahindi wanavyobaguliwa hapa Bongo
 
If you've been following my postings in this thread, I gave him the benefit of the doubt as far as the dramatic story he's presented concerning his arrest and deportation. However, that's his side or version of events, and we haven't heard from the other parties involved, namely GSM, Police and Immigration (and I have to say, it's highly unlikely the authorities and a business institution like GSM would hit JF to respond to Mr. Rishbah's accusations). That being said, there's obviously more to this saga than Rishbah Raj would want us to believe, his mediocre English skills aside.
 
Reveal the truth Mr.Indian
 
Gimme a break.
 
Hata wewe ni uthibitisho wa namna wahindi wanavyobaguliwa hapa Bongo
We kama huwajui wahindi kaa utulie, au na wewe ni wa India? Hawa washenzi walikuwa wanatubagua hata utalaamu hawana, hawataki kukaa na sisi hata kula wanajitenga wakati hawajui kitu, wananyanyasa vijana siwezi kuwatetea hata kidogo
 
Naona na wewe umejiunga leo kupambana na muhindi. Mko wangapi? Hii lazima mze baba aifuatilie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…