Need a girl friend

duh!! haya bana!!
lkn mbona kama binti wa miaka 21 bado anasoma kama sikosei??, huenda ikawa hata ww bd unasoma, unakula kwa mama!! ila hiki ndio kizazi cha @yahoo.com!!

All the best!!
 
Hili jukwaa la kutafuta wachumba sijui litaanza lini yaratibi toba. Maana kama Mkwaruzo alivyosema New ID na kutafuta wachumba tuuuuuuuuuuuu its boring now wajameni aakkkhhh
ukosawa kabisa my sister.
 
Hahaha! Sasa mi jamaa namuelewa sana, amechoka na mambo ya madada wetu asili ya kiafrika!

Wahindi wengi wao hukaa na wapenzi wao bila kutoka nje ya urafiki. Waarabu pia hutulia pia, wakikupenda huwa wanapenda na nyumba. zao.
Sasa wenzetu, madada zetuuu........weeeeeeeee!!! utampa kila kitu...jioni ametoka....mara huku mara kule...wengi wao wako hivyo. Heshima ya mwanaume kwao zero.

Ndio maana kajitosa huko!!
 
Kaka umepata huyo mchumba unaemtafuta au bado uko katika kutafuta kwa nini huingii katika yahoo na Gogle ukafanya search pengine unweza kupata mara moja
 
Hellow...
Nina umri wa miaka 31 naishi rocky city (Mwanza),Nahitaji girl friend wa Kiarabu au kihindi ambaye anaishi Tanzania,umri 20-30. Ambaye yuko tayari na serious tuwasiliane 0777 227972. Text sms zitajibiwa pia.
Karibu...

Kama we ni mswahili huwezi kupata dem mwenye sifa ulizoandika.
Wacha nirudi zangu Jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom