Need a dream home designer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Need a dream home designer?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ellie, Nov 6, 2011.

 1. Ellie

  Ellie Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Have you struggled hard to get a designer, cost estimator for your home design as well as you need technical advises for your house?now problem solved, Unaweza kupata design ya nyumba ya kuishi (residential house), Hotel , Appartments ,Hostels e.t.c at a reasonable price, na pia kupatiwa estimate za design hizo at very affordable price, na kama unataka kubadilisha matumizi ya nymba yako unahitaji technical advise pia utapata (consultancy).
  Contact:nyenze1@yahoo.com au ni PM kwa maelezo zaidi.
   
 2. J

  JERRY JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wewe umesajiliwa na board husika za ujenzi ? Mfano aqrb, erb etc
  please tujuze
   
 3. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Umeulizwa je umesajiliwa?
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,670
  Trophy Points: 280
  Kaka nakushahuri lete mifano humu wa nyumba na bei zake kwani hapo unaweza ukavutia watu wengi zaidi kujenga na wewe na kama unavyojua wabongo CHEAPER the BETTER!
   
Loading...